Total Pageviews

Tuesday, March 29, 2011

ICTRONICS IMEFUNGULIWA RASMI!

Kwa wakazi wa Tabata Chang"ombe na maeneo ya jirani karibuni sana katika ofisi ya 

ictronics iliyopo mkabala na magorofa ya VETA-CHANGOMBE  ambayo inatoa huduma za ICT zifuatazo:
1.Internet cafe,

2.Computer maintanance,

3.Data Recovery

4.Computer upgrade nk.

wote mnakaribishwa!

Eng.ICTRONICS

No comments:

Post a Comment